Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Kama akisema ni Dar naomba unitag
[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787] ngoja tuone
Kama akisema ni Dar naomba unitag
Hii ni lindi sehem inaitwa magereza
AkhsanteSimu nyingi za Android zina app ya Google photos kama hauna download play store baada ya kuifungua itakuletea picha zako nenda kwenye option tafuta setting click backup & sync utaset njia ya kufanya backup either wi-fi au cellular network .
Huwa najisikia uvivu kuhamishaPole uwe unasave hata kwenye Pc
Ngoja na Mimi nianzeMie huwa nasave google drive! Sema huwa nasave vitu vya muhimu tu siyo picha zangu aisee!
Mbali na mapaja hiyo picha haina lolote. Hata msosi wenyewe haueleweki. Kungekuwa na kiugali cha Kisukuma pembeni labda [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Nimeona mapaja tu.
Dogoyo ng'wa minze.....Ng'wanike Bejaga Kaya. Jael njoo utafsiri... [emoji443][emoji443][emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 1542343
Ng'wagūkū bageshi?Dogoyo ng'wa minze.....
Eng'washi bhageshi....Ng'wagūkū bageshi?
Mwabejaaaa.Mbali na mapaja hiyo picha haina lolote. Hata msosi wenyewe haueleweki. Kungekuwa na kiugali cha Kisukuma pembeni labda [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Fanya hivyo dear picha ni kumbukumbu nzuri .Akhsante
Ngoja nisave kabisa
Yaani kuna vitu vimepotea nimeumia roho
Hebu kakojoe ulale.Mwee hivi mbona mama haniitagi hivi [emoji85][emoji85]
Sijambo baba nimekumiss mno [emoji7][emoji7]
Nipe hela.Ng'wanike Bejaga Kaya. Jael njoo utafsiri... [emoji443][emoji443][emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 1542343
Acha mambo ya ajabu basi..😅😅😅ugali ulienda likizo 🤣🤣Mbali na mapaja hiyo picha haina lolote. Hata msosi wenyewe haueleweki. Kungekuwa na kiugali cha Kisukuma pembeni labda [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ana malezi ya kijaluo mama yako[emoji23][emoji23], tuendele kumvumilia tu mwanangu!!Mwee hivi mbona mama haniitagi hivi [emoji85][emoji85]
Sijambo baba nimekumiss mno [emoji7][emoji7]