Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
Siwezi kuja nao ankali😅😅😅kina nani ankaliUsije na wambea lakini..kina nanihii...[emoji2]
Siwezi kuja nao ankali😅😅😅kina nani ankaliUsije na wambea lakini..kina nanihii...[emoji2]
Uwe unasave Google photos au team iPhone wewe .
Napenda picha aisee nikipoteza picha huwa nahuzunika maana memories means so much to me .
Nimeona mapaja tu.
Sijakuchanganya wala..
Ulianza na sikio...
Kisha smiles...
Then .....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] those gud old days.. watu walijiachia humu
Nifundishe kusave Google photo
Nimepoteza picha karibia zote hadi roho inaniuma
Kausha mzee!! endelea kula ndizi😎😎Nimeona mapaja tu.
Marahaba my princess! Hujambo?
Simi nyingi za Android zina app ya Google photos kama hauna download play store baada ya kuifungua itakuletea picha zako nenda kwenye option tafuta setting click backup & sync utaset njia ya kufanya backup either wi-fi au cellular network .
Kumbe hupendi picha kihivyoDooh basi mimi nahisi ndiyo maana sisave! Sipendi picha kabisa na mimi kwangu hata zikipotea huwa sinaga shida!
Haha sijawahi kuzipenda iphone aise! Never!
Swahiba ...hiyo sentensi ya mwisho kabisa imenipa maswali sijui KwaniniMwee yaani sijui kwanini nilipoona hilo neno la kwanza tu nikajikuta nimeshindwa kuelewa mengine uliyoyaandika huko mbele! [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Mbona mnatutia majaribuni ninyi watoto? [emoji2296][emoji2296]
😂😂Mwee yaani sijui kwanini nilipoona hilo neno la kwanza tu nikajikuta nimeshindwa kuelewa mengine uliyoyaandika huko mbele! [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Mbona mnatutia majaribuni ninyi watoto? [emoji2296][emoji2296]
Hahaha kwa nini imekupa maswaliSwahiba ...hiyo sentensi ya mwisho kabisa imenipa maswali sijui Kwanini
Kumbe hupendi picha kihivyo
Vipi mzima wewe ?
Swahiba ...hiyo sentensi ya mwisho kabisa imenipa maswali sijui Kwanini
Nimekuuliza wewe ni ME au KE😅😎😎[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maswali gani swahiba
[emoji23][emoji23]
Kha sikuona hata hii autocorrect inakera inajibadilisha yenyewe .
Itakuwa huna interest na picha it's okay kuwa hivyo ..Yaani sipendi sijui kwanini
Mi mzima sijui wewe