Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,952
Okayit’s nothing serious my dear, i’m just playing around.
Okayit’s nothing serious my dear, i’m just playing around.
Nimekuuliza wewe ni ME au KE![]()
Itakuwa huna interest na picha it's okay kuwa hivyo ..
Namshukuru Mungu nipo poa .
Hamna sio mbaya kila mtu ana interest zake watu hatuwezi kufananaKuna watu wananifanyaga nijione wa ajabu eti kisa sipendi picha
Oohh nafurahi kusikia hivyo
Yesu Kristo 🙆♀️🙆♀️🙆♀️Umeniuliza wapi mbona sijaona
Mimi ni me rafiki
Anko haki nimeshangaa sana..yani nilikuwa najua huyu ni mwanamke since day one naanza kupita kwenye comments zakeNgoja nimsaidie anko ...wewe ni jinsia pinzani
Ngoja nimsaidie anko ...wewe ni jinsia pinzani

bora tu umemsaidia anko wako kwa kweliHamna
Sio mbaya kila mtu ana interest zake watu hatuwezi kufanana
Anko haki nimeshangaa sana..yani nilikuwa najua huyu ni mwanamke since day one naanza kupita kwenye comments zake
Karibuni upepo View attachment 1542254
Location kiongozi
Hii ni lindi sehem inaitwa magerezaLocation kiongozi
Hahahahah nishasemaKama akisema ni Dar naomba unitag
Lindi magereza mkuuLocation!?
Jr![]()