Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Kitu kishasetiwa mwelekeo wa Qibla.Hapa mkuu Ely mbuzi keshakubali uelekeo?![]()
Kitu kishasetiwa mwelekeo wa Qibla.Hapa mkuu Ely mbuzi keshakubali uelekeo?![]()
Hahaha....kimasiharaKitu kishasetiwa mwelekeo wa Qibla.
Haha, haya mkuu. Sisi majoka ya kibisa kazi yetu kuangalia tu.Hahaha....nipo namuwekea mbuzi majani
sean hamilton dah ivi hili pindi bado lipo nilikua silikosi kila jmosi kiss fm kuanzia saa 12 jion
yaani ilikua pini juu ya pini ngoma zote 30 dah
Nitawekaa hembu nione yakwakooNdiyo naona hii Comment Hazard CFC
Toka ile siku umeniweka kwenye ule uzi wako na kuniahidi kunionesha mguu wa mgeni hadi leo hujaweka!!! Nasubiri picha yako.
Njoo usikilizie hata audio mkuuHaha, haya mkuu. Sisi majoka ya kibisa kazi yetu kuangalia tu.

Kabisa mkuu, sasa kuwe na ac machinjioniKitu kishasetiwa mwelekeo wa Qibla.

Wacha weeeeh!! Mbona kama mko chooni?
Video je?aaah wapi!!
Aaah wapi mkuu!Video je?
That was CRDB half marathon. My normal runs do not exceed 15km and that's enough training for 21km. You can do it.
Safi sana mkuu, natamani sana hizo runs walau thrice per week, tatizo UVIVU!!That was CRDB half marathon. My normal runs do not exceed 15km and that's enough training for 21km. You can do it.
Ba ha utabaki bachelor unatia pilau kwenye rice cooker

Sawa dearsawa dear nitakutafuta
Kuanza ni ngumu sana.Safi sana mkuu, natamani sana hizo runs walau thrice per week, tatizo UVIVU!!