linahbaby
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,087
- 3,084
HahahhahahahahahahhaahhahahahahaahahhaMkimaliza story zenu za machimbo ya mbuzi na kitimoto muweke picha please.
HahahhahahahahahahhaahhahahahahaahahhaMkimaliza story zenu za machimbo ya mbuzi na kitimoto muweke picha please.
Wewe ndo unaukwamisha. Ukiwa tayari hata leo tunaonana.



sawa dear nitakutafutaUliandika mahali au?Post no. 65811.
Na nyingine zipo juu huko... nimesahau.

Sikuandika hata.. ipo sijafutaUliandika mahali au?
Manake sikumbuki ni lini nilipost picha huku.

Yako ipo juu huko...nilishapost nyingi sana mwanzoni.Sikuandika hata.. ipo sijafuta
Yako iko wapi?![]()
Post no. Ngapi nikaangalieYako ipo juu huko...nilishapost nyingi sana mwanzoni.

NiniMweeeeh!![]()

@MakiseoSikuandika hata.. ipo sijafuta
Yako iko wapi?![]()
Kwema sana tu vipi mzima wewe mkuuKwema??mbona mguno tena
Oyoooooo....
@T 1990 ELY@Makiseo
Wifi alijua atatupiwa JF kweli
Hakuna wifi hapa wewe mkuu....Wifi alijua atatupiwa JF kweli

Mambo vipi mamy@T 1990 ELY
Jamani 😅😅😅😅😅😅we mwanaume unadhambi ujue 😜😜😜Hakuna wifi hapa wewe mkuu....
Ni jamaa tu huyo![]()
Hahaha...ni mguu wangu huo sisterOyoooooo....
Tambulisha huo mguu mwingine basi Bro...
Wifi nimutoe wapi sasa nipo nakufa na utamu wangu kama muwa tuJamaniwe mwanaume unadhambi ujue
![]()

Eeeeeeh!!Huo mwingine kwenye open shoes.Hahaha...ni mguu wangu huo sister