Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,514
- 203,241
Haha nmecheka na caption. Pic nzuri[SUP]Msitu-judge wavaa michaniko jamani 🥴🥴🥴[/SUP]View attachment 1538540
Haha nmecheka na caption. Pic nzuri[SUP]Msitu-judge wavaa michaniko jamani 🥴🥴🥴[/SUP]View attachment 1538540
Nimekufutia juu kwa juu 😂 hicho ni kifupi lakiniKizuriiii 😍😍😍
Ona ulivyopendeza
Ukiweka easy wave usiache muda mrefu alafu tafuta mafuta ya Auntie Jackie's yanayoitwa CURL LA LA utafurahi mwenyewe.Niliwekaga ile easy wave, napenda penda vile viwimbi... Mvurugano na natural hair I wish nione kapic kako sasa 😎
😂😂😂😂😂Nimekufutia juu kwa juu 😂 hicho ni kifupi lakini
Sana.Sema hizo zimechanwa vizuri
Leo nimevaa wigiNiliwekaga ile easy wave, napenda penda vile viwimbi... Mvurugano na natural hair I wish nione kapic kako sasa![]()





😁😁😁 inabidi maana hatukawii kusemwa 🙈🙈Haha nmecheka na caption. Pic nzuri
WaonesheLeo nimevaa wigi![]()
Hvi nimepitwa wewe mzee....Hahahaha, tuma tena nyingine
Hvi ulituma nyingine!??
Week end Leo ,usicheze mbali humuHvi nimepitwa wewe mzee....
kwann mpk uvipendezeshe? mbona mimi sijavifanyia kitu..usijali ngoja siku nikivipendezesha kidogo na tips na nail polish nitavituma
Hajasema akisema nitamtumia.Waoneshe
Thank you dear. Nitayatafuta, pia uwa siachi muda mrefu...ni chap tu naoshaUkiweka easy wave usiache muda mrefu alafu tafuta mafuta ya Auntie Jackie's yanayoitwa CURL LA LA utafurahi mwenyewe.
Hebu nikuone na mtoko wa weekend 😍Leo nimevaa wigi![]()
Ndiyo 😎 zamu yako sahiviHvi ulituma nyingine!??
Ila nimejitahidi sana kuziotea leoWeek end Leo ,usicheze mbali humu
Okay tuma Kwanza ile sijaionaNdiyozamu yako sahivi