Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,160
- 11,214
Shikamoo lizzy
Shikamoo lizzy
Jumamoko moja babkubwa Wakatalunya wakapewa ofa ya bia nane kwa bei ya bia mbili nikasinsia vizuri.Haha kama kawa brotha. I hope una Jmosi babkubwa zaidi ya wakatalunya.
kwann mpk uvipendezeshe? mbona mimi sijavifanyia kitu..
na wewe ungetuma vikiwa kama vilivyo ingependeza kweli...




hebu tupia chap halafu toa nione kama ntaweza kimbia...Alooo mtakimbia humu![]()
Karibu!🙂🙂Thank you dear. Nitayatafuta, pia uwa siachi muda mrefu...ni chap tu naosha
hebu tupia chap halafu toa nione kama ntaweza kimbia...
Naunga mkono hoja 👍Waoneshe
Marhaba Bill...u hali gani???🙂Shikamoo lizzy
huyu n lizzy au nani?Karibu!🙂🙂
Ushawahi kuweka mirija?? Huwa inapendeza kama nywele zako zimejaa 👨🦱👨🦱
View attachment 1538598View attachment 1538599
unajua kukwepa mashambulizi bwana🙌Bahati mbaya camera yangu mbovu halafu sina picha ya vidole
Pacha wa kufanana 🙈huyu n lizzy au nani?
Hali ni poa aiseee hivi umeolewa samahani kwa swali gumu?Marhaba Bill...u hali gani???![]()
mwenyewe mwenyewe yuko wapi sasa?Pacha wa kufanana 🙈
Kuna huyo rafiki yangu alinunuaga moja hiyo,siku amevaa akashindwa kutoka nayo.Sana.
Aiseee kuna zingine ukivaa unakuwa kama stage show wa akudo.
JaelEnough with the legs, hebu kwa juu sasa.
Kuolewa kuna wenyewe na wenyewe sio kina mie 🤓🤓Hali ni poa aiseee hivi umeolewa samahani kwa swali gumu?
Ndo huyo huyo 2 in 1🙂mwenyewe mwenyewe yuko wapi sasa?