Tansy JF-Expert Member Joined Apr 19, 2018 Posts 3,946 Reaction score 8,952 Aug 15, 2020 #68,041 Saint Anne said: Aisee Zile ambazl huwaga zimepanda hadi tumboni? Siwezi Click to expand... Nahisi unasemea highwaist hizo Mazoea tu hayo hata hivyo nayo mtu akiva anapendeza
Saint Anne said: Aisee Zile ambazl huwaga zimepanda hadi tumboni? Siwezi Click to expand... Nahisi unasemea highwaist hizo Mazoea tu hayo hata hivyo nayo mtu akiva anapendeza
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Aug 15, 2020 #68,042 Chakorii said: Mimi sio magotini tu...suruali iliyochanika popote pale siwezi vaa kabisa nilishashindwaga. Ila huwa naenjoy sana kumuona mtu kavaa lakini sio mimi. Click to expand... Mimi inategemea na mtu aliyevaa yukoje ndiyo naweza nikapenda au nikachukia au hata zile zilizokatwa chini na hazijapindwa! Mimi binafsi zimenipitia kushoto kabisa hata hizi suruali za high waist nazo huwa siyo mshabiki japo hizi ndiyo napenda nione mdada kavaa!
Chakorii said: Mimi sio magotini tu...suruali iliyochanika popote pale siwezi vaa kabisa nilishashindwaga. Ila huwa naenjoy sana kumuona mtu kavaa lakini sio mimi. Click to expand... Mimi inategemea na mtu aliyevaa yukoje ndiyo naweza nikapenda au nikachukia au hata zile zilizokatwa chini na hazijapindwa! Mimi binafsi zimenipitia kushoto kabisa hata hizi suruali za high waist nazo huwa siyo mshabiki japo hizi ndiyo napenda nione mdada kavaa!
Mnazareth JF-Expert Member Joined Dec 4, 2017 Posts 3,474 Reaction score 7,407 Aug 15, 2020 #68,043 Jael said: Nasubiri. Click to expand... Usijali
Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,440 Aug 15, 2020 #68,044 Jael said: Asante, umenitamanisha sana. Click to expand... Chakula kizuri,cha zaidi ni kuwa kipo simple tu
Jael said: Asante, umenitamanisha sana. Click to expand... Chakula kizuri,cha zaidi ni kuwa kipo simple tu
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Aug 15, 2020 #68,045 Tansy said: Mimi navaa za kitambaa siku nikivaa jeans sijui najisikiaje hata , nahisi mazoea maana navaa nguo fupi pia . Click to expand... Basi mie za kitambaa au skin huwa sivai sana! Napenda sana za jeans na cadet tu!
Tansy said: Mimi navaa za kitambaa siku nikivaa jeans sijui najisikiaje hata , nahisi mazoea maana navaa nguo fupi pia . Click to expand... Basi mie za kitambaa au skin huwa sivai sana! Napenda sana za jeans na cadet tu!
Jack Palladino JF-Expert Member Joined Feb 24, 2018 Posts 7,245 Reaction score 22,552 Aug 15, 2020 #68,046 Saint Anne said: Mchumba Naomba ujiselfishe nikuone Click to expand... Nakupm mchumba
Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,440 Aug 15, 2020 #68,047 Saint Anne said: Tunataka picha yako Click to expand... Aisee Mtakatifu
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Aug 15, 2020 #68,048 Tansy said: Nahisi unasemea highwaist hizo Mazoea tu hayo hata hivyo nayo mtu akiva anapendeza Click to expand... Hizo ni zipi? Zile ambazo zinapwaya hivi ukitembea unaelea tu mule ndani??
Tansy said: Nahisi unasemea highwaist hizo Mazoea tu hayo hata hivyo nayo mtu akiva anapendeza Click to expand... Hizo ni zipi? Zile ambazo zinapwaya hivi ukitembea unaelea tu mule ndani??
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Aug 15, 2020 #68,049 Jael said: Hata mimi suruali siwezi kuvaa Click to expand... Abee
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Aug 15, 2020 #68,050 Jack Palladino said: Nakupm mchumba Click to expand... Nasubiri
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Aug 15, 2020 #68,051 Zoë said: Abee Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Aug 15, 2020 #68,052 ningendako said: Aisee Mtakatifu Click to expand... Unatunyima kuona nini?
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Aug 15, 2020 #68,053 Saint Anne said: Bora Wewe unavaa ukiwa unafanya mazoezi Click to expand... Huyo anavaa suruali hata akilala
Saint Anne said: Bora Wewe unavaa ukiwa unafanya mazoezi Click to expand... Huyo anavaa suruali hata akilala
Mnazareth JF-Expert Member Joined Dec 4, 2017 Posts 3,474 Reaction score 7,407 Aug 15, 2020 #68,054 Zoë said: Basi mie za kitambaa au skin huwa sivai sana! Napenda sana za jeans na cadet tu! Click to expand... Embu tuone
Zoë said: Basi mie za kitambaa au skin huwa sivai sana! Napenda sana za jeans na cadet tu! Click to expand... Embu tuone
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Aug 15, 2020 #68,055 Zoë said: Huyo anavaa suruali hata akilala Click to expand... Aiseee Kumbe amenifariji tu
NaddySL JF-Expert Member Joined Nov 6, 2019 Posts 995 Reaction score 5,193 Aug 15, 2020 #68,056 Saint Anne said: Nitamtia aibu na magauni yangu mwendokasi ya vitenge Lakini si upo wifi,utanifundisha. Click to expand... 😀 gauni na sketi nzuri tu lakini.. Zinakupendeza sana na ushepu wako huo.. Ukivaa suruali au jinzi utasababisha ajali
Saint Anne said: Nitamtia aibu na magauni yangu mwendokasi ya vitenge Lakini si upo wifi,utanifundisha. Click to expand... 😀 gauni na sketi nzuri tu lakini.. Zinakupendeza sana na ushepu wako huo.. Ukivaa suruali au jinzi utasababisha ajali
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Aug 15, 2020 #68,057 Saint Anne said: Yaani ujue huwaga wananiponda Huku zile gauni zangu wanaita mifuko Ila hizohizo wanakuja kuazima j2 Mimi hizo suruali huwa nawaambia zimeliwa na panya,nitawawekea viraka Click to expand... Mimi magauni nilikuwaga napenda zamani! Ila as i grow up najikuta napoteza interest kwenye magauni hivyo mie ni mwendo wa suruali tu na tshirts au shati za mikono mirefu halafu nakunja!
Saint Anne said: Yaani ujue huwaga wananiponda Huku zile gauni zangu wanaita mifuko Ila hizohizo wanakuja kuazima j2 Mimi hizo suruali huwa nawaambia zimeliwa na panya,nitawawekea viraka Click to expand... Mimi magauni nilikuwaga napenda zamani! Ila as i grow up najikuta napoteza interest kwenye magauni hivyo mie ni mwendo wa suruali tu na tshirts au shati za mikono mirefu halafu nakunja!
NaddySL JF-Expert Member Joined Nov 6, 2019 Posts 995 Reaction score 5,193 Aug 15, 2020 #68,058 Zoë said: Mimi inategemea na mtu aliyevaa yukoje ndiyo naweza nikapenda au nikachukia au hata zile zilizokatwa chini na hazijapindwa! Mimi binafsi zimenipitia kushoto kabisa hata hizi suruali za high waist nazo huwa siyo mshabiki japo hizi ndiyo napenda nione mdada kavaa! Click to expand... Suruali za high waisti zinahitaji kiuno na hipsi zilizokaa vizuri😀
Zoë said: Mimi inategemea na mtu aliyevaa yukoje ndiyo naweza nikapenda au nikachukia au hata zile zilizokatwa chini na hazijapindwa! Mimi binafsi zimenipitia kushoto kabisa hata hizi suruali za high waist nazo huwa siyo mshabiki japo hizi ndiyo napenda nione mdada kavaa! Click to expand... Suruali za high waisti zinahitaji kiuno na hipsi zilizokaa vizuri😀
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Aug 15, 2020 #68,059 NaddySL said: gauni na sketi nzuri tu lakini.. Zinakupendeza sana na ushepu wako huo.. Ukivaa suruali au jinzi utasababisha ajali Click to expand... Huu ukimbaombao ulete ajali!?!?! Halafu wifi,kaka yako anakuja lini jamani Ujue namsubiri hadi naimba haleluya,,ninong'oneze tafwadhali Nimemsubiri mno Jamani
NaddySL said: gauni na sketi nzuri tu lakini.. Zinakupendeza sana na ushepu wako huo.. Ukivaa suruali au jinzi utasababisha ajali Click to expand... Huu ukimbaombao ulete ajali!?!?! Halafu wifi,kaka yako anakuja lini jamani Ujue namsubiri hadi naimba haleluya,,ninong'oneze tafwadhali Nimemsubiri mno Jamani
Tansy JF-Expert Member Joined Apr 19, 2018 Posts 3,946 Reaction score 8,952 Aug 15, 2020 #68,060 Saint Anne said: Hizo ni zipi? Zile ambazo zinapwaya hivi ukitembea unaelea tu mule ndani?? Click to expand... Kama hizi dear Attachments download (1).jpeg 2.4 KB · Views: 6
Saint Anne said: Hizo ni zipi? Zile ambazo zinapwaya hivi ukitembea unaelea tu mule ndani?? Click to expand... Kama hizi dear