Ai givapu. Kibiblia ukiweka ahadi ni lazima utimize. Usipotimiza ahadi hiyo itakuandama tu. Sasa sijui huku kubembelezana kunatoka wapi. Aweke picha mtumishi
Kaka usimfokee ukimfokea ndiyo utaharibu! Tumuombe kwa heshima na taadhima busara na hekima hachelewi kusema tuendelee kumtazamia bwana huku tukichochea karama zetu za uvumilivu!