Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Muite basi Jael aje hapa; bila hivyo atabisha kutoka JFUsisahau kunitag Nkamu gwangu
Sent from my SM-P601 using JamiiForums mobile app
Muite basi Jael aje hapa; bila hivyo atabisha kutoka JFUsisahau kunitag Nkamu gwangu
Siendi popote nipo hapa hapa nasubiri
Endelea kuchochea karama yako ya uvumilivuSiendi popote nipo hapa hapa nasubiri
Jael njoo huku upesi unatukosesha picha [emoji351][emoji351][emoji351][emoji351]Hapana. Jael alisema eti siku mimi nikijiselfisha, atajitoa mazima Jf. Ndo nataka nipost na aione ili atoke JF
Sent from my SM-P601 using JamiiForums mobile app
Kama konyagi ingekuwa ni mtu, wazee wa kijitonyama, mikocheni hapa wapi?View attachment 1534434
Khaaaah!! Usinitetemeshe[emoji57]
Msukuma gani una roho mbaya hivi[emoji1745][emoji1745][emoji1745]Ulishawahi kweli kujiselfisha hapa mtumishi?
Huyo Jael ameshaondoka. Rusha haraka halafu uifute kabla hajarudi [emoji16][emoji16][emoji16]
Weka nijitoe.Hapana. Jael alisema eti siku mimi nikijiselfisha, atajitoa mazima Jf. Ndo nataka nipost na aione ili atoke JF
Sent from my SM-P601 using JamiiForums mobile app
Ni za uso tu nanistopu dah [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Kwendraaaa!
Umekosea tu kwenye kinywaji....
Na bado!Ni za uso tu nanistopu dah [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Kwahiyo hajaweka[emoji134][emoji134][emoji134][emoji2296][emoji2296] Heaven Sent hiyo picha iko wapi [emoji2368][emoji2368]
Tatizo ni huu upendo wangu kwako; nakuonea huruma sana kuikosa JFWeka nijitoe.
Atatia huruma mama angu[emoji2296][emoji2296] Heaven Sent hiyo picha iko wapi [emoji2368][emoji2368]
Kwedraaaaaa!Tatizo ni huu upendo wangu kwako; nakuonea huruma sana kuikosa JFAtatia huruma mama angu