Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,500
- 235,204
Haya toa[emoji7]tatzo ulnambia nipnguze emoji[emoji16][emoji16]ungesemaga nitoe emoji...mbn .mapema san[emoji6]
Haya toa[emoji7]tatzo ulnambia nipnguze emoji[emoji16][emoji16]ungesemaga nitoe emoji...mbn .mapema san[emoji6]
Nicole hela zangu utanitumia lini wewe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tena huoni kitambulisho ndo naenda kukutumia.Nicole hela zangu utanitumia lini wewe?
Tetemeko la ardhi. Hapa Mbagala limepita kwa kasi....Kuna habari gani town? Nimeingia kwa WhatsApp status naona mauza uza tu, nampigia mazaa hapatikani, Mshua hapokei....
Jamani 😂😂😂😂 nacheka lakini naogopa.....Tetemeko la ardhi. Hapa Mbagala limepita kwa kasi....
View attachment 1535423
Dah! Kuna mtu katoka kunitumia WhatsApp... Nimecheka sanaSiku hizi badala ya “USINIFOKEE” tutaanza kusema “USINITETEMESHE”
Wabongo noma [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Dah! Kuna mtu katoka kunitumia WhatsApp... Nimecheka sana
Naomba muonyeshe na zile za juzi kati
Wameniandama humu wanasema Mimi nawadanganya[emoji1787]
Weka hata mkono mamiiiNimepitwaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]