Yaani kuna wadada humu wapo kwenye top 3 yangu.
Wakiwepo kwenye mada Hakuna kinachoharibika.
Yule dada tangu saa 7 nimemuacha mule,nimerudi saa1 nikamkuta..
Anapangua hoja vibaya mno[emoji4]
Wanaume wanatamani wajing'ate huko waliko
Mpaka saivi?
Sasa pale hajawatukana wanaruka vile.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawaona walivyoishiwa hoja wanabaki wanarukaruka tu kama bisi kumtukana dada wa watu
Umejichora mno huko usoni
Huo uzi mbn hamniiti jmn[emoji28][emoji28]
Wameufunga muda huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mods hawa dah
Sasa pale hajawatukana wanaruka vile.
Angewatukana wangelia wale..na siyo kwamba hawezi kutukana,basi tu ameamua kuwastahi.
Kajitahidi mnoYeah nilichompendea leo kajitahidi kutumia lugha nzuri aise
[emoji23][emoji23][emoji23] Hivi moustache ina kazi gani jamani?Mkuu hiyo moustache unaipa madini gani mbona inanawiri sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wengine wanaupenda, wengine hata hatuna mda nao, actually ndevu zinakera sana. Nashangaa dogo anarutubisha tu moustache yake.[emoji23][emoji23][emoji23] Hivi moustache ina kazi gani jamani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Iko siku atasuffocate.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wengine wanaupenda, wengine hata hatuna mda nao, actually ndevu zinakera sana. Nashangaa dogo anarutubisha tu moustache yake.
Jamaniii dea now nakuwa bizze mno, c unajua maandalizi ya kuepuka sept conf. [emoji2][emoji2][emoji2]Sikukwambia ulale mie
Mmmmmh na nusu
Umejuaje shangazi, hata kukiss unagusa moustache alaaaah [emoji2961][emoji2961]Iko siku atasuffocate.
Kwa kweli hazina mvuto.
Ndevu ni tofauti na moustache.
Ndevu yes.
Moustache no.
Hizi akili ni zangu kabisa [emoji1787][emoji1787]
Nawaona members wa kubonjoa hela ya nauli πAkili zangu za 2017 ππππView attachment 1533114
Nawaona members wa kubonjoa hela ya nauli [emoji38]