Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwee naona tufunge tu sasa huu mjadala maana naona tangu jana watu wananiquote kuhusu personality yangu najikuta najielezea hadi nachoka
Hata mie siwazi wala siwalaumu wananionaje au wanasema nini kuhusu mimi they’re all entitled to their own opinions and i’m totally okay with that
Let’s keep having fun aye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pm kwangu hakuna masharti hata, napenda wageni balaa. Ukija uje na picha asee!!Kweli kabisa dad [emoji4][emoji4]
Ila usijisahaulishe nakudai picha ujue [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Na hivi pm kwako ulikataa kunikaribisha. [emoji2296][emoji2296] Mie siwezi kuingia kwa mtu bila hodi yaani nikose adabu jukwaani na hata pm nako nikose adabu mwee nitakuwa mtoto wa aina gani sasa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Halafu umlete Lizarazu,acha kumficha hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pm kwangu hakuna masharti hata, napenda wageni balaa. Ukija uje na picha asee!!
Ujue nimemmiss Sana Hadi naugua.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua usinitanie wewe, hebu mrudishe kaka angu huko aise.
Sikukwambia ulale miePlz weka picha haraka sanah, nataka kuona hyo uliyofuta
Wapi gaga?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pm kwangu hakuna masharti hata, napenda wageni balaa. Ukija uje na picha asee!!
#66397
Kuanzia hapo kuna picha zangu kibao niliweka
[emoji16][emoji16]sawa nitapunguza[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Punguza emoj tafadhali
oooh masha Allah[emoji3059]#66397
Kuanzia hapo kuna picha zangu kibao niliweka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] linanichania net kila siku.Wapi gaga?
iii nkamu..
Bhika
Ziba hata na emoj
Haha ila wewe[emoji849]
Kabisa daughter!Oohh na mimi nitaikuta picha eenh ?? [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
#66397
Kuanzia hapo kuna picha zangu kibao niliweka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakoelekea nitaanza kuwaambia ukweli hao unaowadanganya kuwa picha zako umeweka kule juu kwenye hizo comments unazozisema, hebu acha kupotosha wenzio.
Hebu tulione[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] linanichania net kila siku.
Sijamdanganya jamani [emoji23]Kwanini unamdanganya mwenzio[emoji23][emoji23][emoji23]
Mweee[emoji134][emoji134]Hiyo tu nimeitoa watsap huko[emoji23][emoji23]
Sijamdanganya jamani [emoji23]
Kweli Kuna picha zangu kuanzia comment namba hiyo.
Kama hamuamini nendeni kaangalie.