Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,571
- 235,411
Ndio hapo sasaKwani humu mtu akikubandika jina kwani anakulisha?tumo humu kufurahi tu.
Mbona vya Dar tena? Wacha bange 😂Governers boardroom tips 🤪
Sijui kitu gani kingine kizuri ninacho[emoji1745][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nataka kujua ili nikija nijifunze Zaidi ya mwandiko kutoka kwako madam wangu [emoji4][emoji4]
hamna shida mkuu japo nimeacha moja, moja nimetoa tayari
Ila wewe 😂😂😂😂Enzi za ujanaView attachment 1532601
Kwan Kuna psychologist humu wanaochunguza watu? Me nakumbuka kuna kipnd nilikaa na psychologist mmoja alinidefine tofauti na jins nilivyo ndo maana hao watu sometimes siwaamini
WalaSo are you single mother?[emoji4][emoji4]
Before hii nmedelete kuna post kitu kimepanda live dooooh [emoji23][emoji23]Ila wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijaona hata moja.hamna shida mkuu japo nimeacha moja, moja nimetoa tayari
Unadhani hata ni wanasaikolojia basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha mkuu wapo humu! Watu ambao wakikosaga hoja kazi yao ni kuanza kuhusianisha unachoandika humu na tabia zako halisi!
Mimi nilishakaa hadi na wachungaji na wakanidescribe tofauti hivyo hadi kesho siwaamini! Sembuse hao wanasaikolojia!
Before hii nmedelete kuna post kitu kimepanda live dooooh [emoji23][emoji23]
Waite IT,Sijui wanakwama wapi
😂😂😂😂😂😂😂Unadhani hata ni wanasaikolojia basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni wahuni flani wamejipachika hicho cheo Cha upiga ramli[emoji2092]
Mh [emoji41]Hebu iweke tena. Sasa hayo madunguli mekundu ya nini?
Wale wa kutupachika single mother nilishawazoea mbona
Tena kuna mwingine kanipachika mchana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapambane na hali zao na saikolojia zao[emoji2092]
Maisha ni mafupi sana kuwa siriaz kila muda
Ngoja tusubiri mkuuD
Waite IT,
Mno [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wana muda wa kufuatilia ujinga aiseee
😍😍Yes, all that. [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Duuh kumbe watu bado wako macho
kesho nitaweka mkuu, tuombe uzima tu....Sijaona hata moja.
Simu yangu haifungui picha,nadhani mtandao wangu Leo upo chini mno.
Niliona Jana pia wamekupigia ramli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]