Hongera Sana kwa kupata mama Bora anayesimamia watoto wake kwenye maswal ya kielimu, hope na ww upo hivohivo kwa watoto wako.Alikuwa mwalimu.
Siku hizi anacheza tu na wajukuu nyumbani.
Ameninyooshaga sana mama yangu,alikuwa haangaalii ulast born wala nini..ikifika kusoma na kuandika anafinya masikio balaa.
Ana mwandiko mzuri sijapata kuona.
Mimi siku nimepewa smartphone nilihangaika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tecno ni nomaaa, kipnd naanza kutumia smartphones ilinifanyia tukio sitokaa nisahau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msione nanyoosha mwandiko hapo,mama yangu dah [emoji23][emoji23]Hongera Sana kwa kupata mama Bora anayesimamia watoto wake kwenye maswal ya kielimu, hope na ww upo hivohivo kwa watoto wako.
Kula nikija humu nakuta pic yako
[emoji7][emoji7][emoji3590]niceView attachment 1532571[emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti nilikuwa naona vidole vipana [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] nmecheka SanaMimi siku nimepewa smartphone nilihangaika.
Nilikuwa naona vidole vipana..yaani nagusa herufi mbilimbili.. aiseee nikaichukua nikairudishia kwenye box nikachukua kitochi changu.
Cha kutaabikia Nini na kitochi ninacho.
Dogo kesho jiandaeKula nikija humu nakuta pic yako
We acha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti nilikuwa naona vidole vipana [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] nmecheka Sana
Hapana kawaida kivp? Mbona unaandika vzr tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msione nanyoosha mwandiko hapo,mama yangu dah [emoji23][emoji23]
Bahati mbaya mtoto wake bomu tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122]
Nipo kawaida mno
Mr. LipsKula nikija humu nakuta pic yako
Chombo uliyopigia misele hapo ndani tamu balaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama nakuona vile , sasa baadae uliweza vp kuitumia Bila kupata changamoto?We acha tu
Nilikuwa nahangaika nayo utadhani napanda karanga shambani kwa jinsi ilivyokuwa ikinisumbua.
Usijal Nimesave ntakutumia [emoji23][emoji23][emoji23]Mweee Leo siamini napitwa namna hii[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Picha zote zanipita hivihivi
Itabdii niicheck Google. Nimepaelewa sana humo ndani 😂 afu inaonekana matunzo kama yoteee🤣
Inaiitwa Škoda
inatamkwa SHHHHHHHKODA😂
Pakogo?Mr. Lips
You're missed..
This coming Thursday let's go to via via...😎
Skoda....Nililazimishwa kutoka tukapige misele na vichaa wangu
View attachment 1532507
Walivyofika maeneo yao nilivunjwa miguu,
way out of budget
View attachment 1532508
PakoPakogo?
Sijapaskia mda
Nilianza taratibu nikazoea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama nakuona vile , sasa baadae uliweza vp kuitumia Bila kupata changamoto?
Afadhali [emoji23][emoji23][emoji122]Usijal Nimesave ntakutumia [emoji23][emoji23][emoji23]