Selfika na JF: Snap it. Show it

Duuuuuh upo km mie, mbele za watu nna uoga na aibu, siwezi kufanya hovyo, ila km n pembeni tobaaah naporomosha maneno km sie mie vile.
 
Aisee Mimi pia ugomvi siwezi sana sana ila sipendi kuona mtu anaonewa , Mara nyingi ikotokea ugomvi nabaki kimya .

Uwoga sio rahisi kutoka maana umeishi mpole muda mrefu na ndo hivyo ulivyo , Jitahidi uwe unaongea live pia na sio maandishi tu .
 
Ukiwa na mtu uliyemzoea ndo unashusha maneno ?

Duuuuuh upo km mie, mbele za watu nna uoga na aibu, siwezi kufanya hovyo, ila km n pembeni tobaaah naporomosha maneno km sie mie vile.
 
Aisee Mimi pia ugomvi siwezi sana sana ila sipendi kuona mtu anaonewa , Mara nyingi ikotokea ugomvi nabaki kimya .

Uwoga sio rahisi kutoka maana umeishi mpole muda mrefu na ndo hivyo ulivyo , Jitahidi uwe unaongea live pia na sio maandishi tu .

Yeah hata mimi huwa sipendi kuona mtu anaonewa na huwa sipendi kununua ugomvi wa watu. Na mimi watu wanaweza wakawa wanaongea hivi mie nikawa nawasikiliza tu kama sipo yaani sichangii chochote kwa kuhofia labda nikichangia mawazo yangu yatadharauliwa tu ila eti nashangaa huku JF nachangia hata pumba bila kujali nitaonekanaje.

Nafikiri mimi upole ndiyo hulka niliyoumbiwa. Huku kuongeaongea sana huwa nalazimisha tu ili na mimi nionekane nina mdomomdomo ila hamna lolote.
 
Mara nyingine Bora ukae kimya ila Kuna muda kuongea pia inaweza kusuluhisha ugomvi huo . basi wewe utakuwa ni introvert
 
Halafu hata mimi nahisi ninakuwa huru zaidi ninapomzoea mtu. Kama mtu sijamzoea nakuwa kama bubu yaani sina cha kuongea zaidi ya kujibu atakachoniuliza tu basi.
Mie muongeaji naweza ongea na mtu yeyote yani bila kumzoea kihivyo nikijisikia... Rafiki zangu huwa wanasema Sina aibu ila najikuta tu nishaongea tuh ..
 
poleeeeh mam lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…