Daah ila asante kama hata angalau umeniona mimi mstaarabu kuna watu wananiona kauzu mkorofi muongeaji sina adabu but mwisho wa siku mimi napenda matani tu
Though sina maana matani yangu ndiyo yawe kikwazo kwa wengine