Haha bia me hizo Heineken labda nikifulia maana zile buku 3 tu. Wine ni nzuri mno, nikikosaga usingizi nakunywa lions hill yan ni chap tu napotelea mawinguni.Hizo ndiyo nzuri sasa
Savanna na Smirnoff Ice pia ziko vizuri
Wine ndiyo usisema mie sijui wine gani sinywi aisee
Whisky na Spirit nazo twende
Bangi na Cigar sasa [emoji39][emoji39] [emoji855][emoji855]
Hapa acha nikae kimya tu
Twende maeneo tukapige vyombo.Mnataja taja wine hapa mpaka nimepata kiu [emoji5]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wanakuchezea sana vile wanakuona we mpole
Mh...umeanza kututisha[emoji848][emoji848][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nikibadilika hapa... hebu waambie uhalisia ulivyo[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mh...umeanza kututisha[emoji848][emoji848]
Ila mbona mie sio muonevu!??Kweli blaza mnamuonea mno mama yangu mdogo jamani
Umesahau hata unitishe vipi siogopi???
Weeeeeee!!!!! Mimi ni mkali mno Rafiki[emoji3]Umesahau hata unitishe vipi siogopi???
[emoji3][emoji3]
Hebu basi anza kuwa mkali nami niwe shuhuda[emoji848][emoji848]
Ha ha ha!!! Una nini lakini Rafiki?Hebu basi anza kuwa mkali nami niwe shuhuda[emoji848][emoji848]
Nakaribia kuondoka hapa ndio nakuaga...
Wewe!!!! Kuna nini?Nakaribia kuondoka hapa ndio nakuaga...
Tuonane baada ya siku kadhaa..[emoji2321]
@Zoë umesema bangi na nini? Kumbe upo njema sana, kuna dada nafanya nae anakula bangi wanaume wasubiri.Hizo ndiyo nzuri sasa
Savanna na Smirnoff Ice pia ziko vizuri
Wine ndiyo usisema mie sijui wine gani sinywi aisee
Whisky na Spirit nazo twende
Bangi na Cigar sasa [emoji39][emoji39] [emoji855][emoji855]
Hapa acha nikae kimya tu
Acha ujinga [emoji38][emoji38] huyu sio wewe.
Hahahaha Mimi mdada anayevuta bangi tunaweza kuelewana@Zoë umesema bangi na nini? Kumbe upo njema sana, kuna dada nafanya nae anakula bangi wanaume wasubiri.
Haha bia me hizo Heineken labda nikifulia maana zile buku 3 tu. Wine ni nzuri mno, nikikosaga usingizi nakunywa lions hill yan ni chap tu napotelea mawinguni.
Sprit hapana mie
HahahahaMie nimekunywa vya kila aina mama, but mwisho wa siku nimeona ni upuuzi nimeacha.
Kausha tu dada...walionipoteza ni wale wanaosemaga binadamu kinyama cha hamu[emoji1787][emoji1787]We si kaka angu wewe? Nikusemee kwa mama na baba?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nikibadilika hapa... hebu waambie uhalisia ulivyo[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app