Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,391
- 95,845
Hahahaha, nakuelewa vzr wa kishua[emoji28][emoji28][emoji28]
Maisha ndo haya haya mtu chake hakuna mengine.unaweza kujibana weeee mwisho wa siku unafika mbinguni unasikia sauti ikisema...”mlijiachia vya kutosha duniani?hapo ndipo utapotamani kurudi [emoji1787][emoji1787]”
Ohoooo HallelujahHahahaha, nakuelewa vzr wa kishua
AmenOhoooo Hallelujah
Kila la kheri,Nikifika 60 si nitakuwa na kitambi?
Masaa nane kulala [emoji818]
Pork + chips - red meat [emoji818]
Malimao nitapunguza
Wanga nawezana na wali tu nahisi. Siku hizi hadi mkate unanishinda, nikijitahidi ni slice 3 hapo nimejilazimisha mno.
Masoda and the like [emoji818]
Mazoezi [emoji818] weekdays uwa nina kibarua cha kupanda ngazi na kushuka. Zoezi linatosha ilo.
Ngoja nikazane, natumaini sitokuangusha mpendwa.... Asante sana & ubarikiwe
Daaah we ni spy nn!!?ngoja nikufuate kule chemba embuNilikuwa nachungulia comments zako nikaona ulisoma chuo Uganda, nataka kuconnect dots hapa [emoji28] unafanya kazi Ta.....? Lile shirika ofisi zake ziko karibu na Exim Bank
Hapo sawa, usinywe vilevi vikali aaaaah.Me naongeza sio kupunguza.
And then sinywi pombe bia, nakunywa tu dry alcohol like wine+ Smirnoff.
Bia ni mbaya jamani kwanza chungu lakkn watumiaji wanakwambia uchungu ndiyo utamu wenyewe. Bia nzuri kiasi ni Heineken
Tupo peke yetu..nikubananishe
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nauona uchokozi wako kwa mbali[emoji3][emoji3]
Tobaaaaaah nimecheka afu kwa sauti kubwa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ila kweli mam kula maisha kadri ya matakwa, huko mbinguni itaeleweka kwenye mahesabu.[emoji28][emoji28][emoji28]
Maisha ndo haya haya mtu chake hakuna mengine.unaweza kujibana weeee mwisho wa siku unafika mbinguni unasikia sauti ikisema...”mlijiachia vya kutosha duniani?hapo ndipo utapotamani kurudi [emoji1787][emoji1787]”
Me naongeza sio kupunguza.
And then sinywi pombe bia, nakunywa tu dry alcohol like wine+ Smirnoff.
Bia ni mbaya jamani kwanza chungu lakkn watumiaji wanakwambia uchungu ndiyo utamu wenyewe. Bia nzuri kiasi ni Heineken
Waaaaahhhii..maisha ndo haya haya aise..Tobaaaaaah nimecheka afu kwa sauti kubwa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ila kweli mam kula maisha kadri ya matakwa, huko mbinguni itaeleweka kwenye mahesabu.
Mwanamke mpambanaji, u r Cash Madame.Najua[emoji28][emoji28]
Kwanza nikiwa sina hela siendi kokote hilo la kwanza,ulishawahi kuona mtu kajitoa outingi halafu hana hela!![emoji28][emoji28]anatia huruma ni kinyama
Kama mwanamke ili kuongeza kujiamin,ni lazima niwe na cash ya kunilisha,kuninywesha na kunirudisha nyumbn.
Hata huyo mwenye kutoa hiyo offer akija anaanza jiuliza mara mbili mbili
Wallah usipojiweka sawa huko kwenye mitoko mwisho uonekane mdangaji bure kwa kutia hurumaMwanamke mpambanaji, u r Cash Madame.
Kabisaaaaah yaan, mie tatizo nilinyimwa uchu kwenye vinywaji. Bas naishia kutazama tyuuuh, ndo maan starehe yangu kupenda ndinga kali tyuuuh.Waaaaahhhii..maisha ndo haya haya aise..
Haswaaaah ukiwa na pesa zako, hata sponsor haleti longolongo anajua yuko na Don Woman. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Wallah usipojiweka sawa huko kwenye mitoko mwisho uonekane mdangaji bure kwa kutia huruma
Hata maji ni kinywaji.Kabisaaaaah yaan, mie tatizo nilinyimwa uchu kwenye vinywaji. Bas naishia kutazama tyuuuh, ndo maan starehe yangu kupenda ndinga kali tyuuuh.
Sponsor...wacha weeee😅😅😅Haswaaaah ukiwa na pesa zako, hata sponsor haleti longolongo anajua yuko na Don Woman. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Unakunywa safariSafari, Balimi, Budweiser na Serengeti are the best aise
Na Windhoek na Heineken kidogo ila zingine zote chungu