cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,291
Akaaaah nimeokota tyuuh picha huko makumbusho.Huyu ni wewe mkuu??
Akaaaah nimeokota tyuuh picha huko makumbusho.Huyu ni wewe mkuu??
Mie hata sijui
Ouk poaaaah lolKhaaa. Sawa Boss
Teh teh, dah sawa dogo...basi tena mzee!!Akaaaah nimeokota tyuuh picha huko makumbusho.
Chama la wana!!?Boss kumbe jinsia ME...
Unafikiri wala nina moto basi? Nimeshaona moja inanitosha. Bado yako. Jana usiku mzima nafukunyua post zako huko juu hakuna picha hata moja. Niliishia kulaani tu...Weka hata kiwiko pulizi![]()









Hiyo haina shida ShemShem lakini uliniahidi special kwa ajili yangu![]()
Kusema ukweli sitaki kukuudhi.
Sawa.. Fanya hivyo na unitag.Kusema ukweli sitaki kukuudhi.
Sitaki uchukie hivyo basi Soon utaipata
Ahaha we hatariNgoja nijaribuView attachment 1529081
Kweli na gharama yake si ndogo hakika..
Nafurahi umeelewa maana yangu.Kweli na gharama yake si ndogo hakika..
Leo ulale mpaka kesho,Nafurahi umeelewa maana yangu.
Fanya hivyo basi.
Nisubiri au nilale hadi kesho?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa... Basi kesho ili niiyone..Leo ulale mpaka kesho,
Ama lah utaikuta.
Piga picha hayo maumivu kwanza niyaone..
Chama la wana!!?