Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,347
- 17,670
hahahaha.Mimi ninazo, njoo tupendane 😆😆😆
hahahaha.Mimi ninazo, njoo tupendane 😆😆😆
Ndiyo mimi huwa siridhikagi na picha moja ya mtu
Muulize mama atakuambia



mtundu sana wewe!!Nyingine zinatisha.Aisee sizipendi sema basi tu kwa kuwa wanazo.
Aisee sizipendi sema basi tu kwa kuwa wanazo.
Zinazovutia zikoje tuzioneNyingine zinatisha.
Nyingine zinavutia.

Mimi ninazo, njoo tupendane![]()
Jael keshaaga tayari. Sasa jamani si unielekeze tu? Unataka na leo nikeshe humu?
Nimecheka.. kuna moja hiyo nimeweka asubuhi.. Sijafuta.. Panda mlima utaiyona..
Au muite Jael akusaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
kazipi?Nyingine zinatisha.
Nyingine zinavutia.
Huyu naye Msukuma wa Ikungulyabashashi kweli?










Nimeiona. Na yako nimeshaiona. Basi sina ishu tena katika uzi huu. Asanteni sana aisee...
Ulugucholaga nkema wagutola, ntolage ung'wanike ng'wenuyu. Wawiza gete nkoyi. Guhondomola gukeMakiseo



Hahah kilichokuleta ushakimaliza!!Nimeiona. Na yako nimeshaiona. Basi sina ishu tena katika uzi huu. Asanteni sana aisee...
Hasa mwanamke ulivutiwa vipi na mwanamke mbona au mnavutianaga.Za kutisha niliziona kwa Mama mmoja hivi, zilimjaa mikononi afu ni mweupe mnene sasa daah!
Za kuvutia anazo rafiki angu mmoja hivi nyuma ya miguu, vimichirizi flan hivi...
virgo man
Hakuna mwingine mwema



