Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,437
- 176,394
Kiasi.. siyo sana.Itabidi tu nilifuate tiba
Nimeona wewe umefanikiwa
Nasubiri ya kwako ShemDarling..Aisee...ushukuriwe mshana kwa uzi huu.
Hivi ujuwe ahadi ni deni shem!!
Nakazia hapa
Kuna mahali umepitwa huko juu Wewe!!!Nimebahatisha leo kwa sababu hajatoa haraka haraka.
Hapo ulipofikia.
Fanya hivyo basi Shem..Hivi ujuwe ahadi ni deni shem!!
Ama unanitafuta Flat Tummy


Hebu weka picha hapa kwanza. Mambo yasiwe mengi.Ama unanitafuta Flat Tummy![]()
Hapana usinikatie tamaa
Dah huku kwetu kuna giza mno picha hazipigiki,
Weeeew!!!Dah huku kwetu kuna giza mno picha hazipigiki,
Tusubirie kesho!!
Si ndo mpango mzima..
Ngoja nijaribu