Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,186
- 35,341
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo hapa nasubiria ila isichelewe sana mpaka muda wa chai ukafika..... 8:45 AM
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo hapa nasubiria ila isichelewe sana mpaka muda wa chai ukafika..... 8:45 AM
Utaikuta.. Mimi uwa sifuti.Nipo hapa nasubiria ila isichelewe sana mpaka muda wa chai ukafika..... 8:45 AM
Nakosa kukuamini,Sawa... Usilog out mahali hapa..
Eeeeeeeeh!!!Nakosa kukuamini,
Nimekumbuka kuna siku uliniweka hapa siku nzima na sikufanikiwa kuona hata kivuli chako..!!
Yeaaaah dea ni sifa zako wee kabisaaah, wala siongopi ujue.Hizi sifa zote ni zangu mimi mimi?
Huhuhuh naskia ni mbishi huyo jomoneeh eti, sijui ndo atadhihirisha hilo lol, ila nisaidie tyuuuh.Ntakusaidia kuomba, ni binti msikivu sana, atakutumia tu
Ngoja nijaribu kuwa na imani.Eeeeeeeeh!!!
Hebu leo kuwa na Imani nami..Siifuti leo
[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]Ngoja nijaribu kuwa na imani.
Jamaniiiih dea lol, uwiiiiiih haya ntasubiri hivyoooh tyuuuhMie picha zangu nilifuta zote dear halafu camera ya simu yangu mbovu. Siku nikirekebisha nitakutumia.
Kusema Ukweli sina Imani na wewe [emoji3][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Nmempa sifa zake bila hiyana mtoto wa watu.Naam nimependea ulivyomdescribe. Amekusikia. [emoji4][emoji4] [emoji847][emoji847]
@MnazarethKusema Ukweli sina Imani na wewe [emoji3]
Kila nikitaka kukuamini moyo unasita
Duh leo kazi ninayo...@Mnazareth
Wewe kaa hapa utaona namna nakushangaza.. jiandae kuweka yako pia..
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Duh leo kazi ninayo...
Naona dalili ya kushinda humu siku nzima.
Mie sikuamini ngoja nilog out tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kiko wapi?Hahah Carb!!nilikumiss ulipotelea wapi!??
Kwani kitambi changu hukijui!??
Ukirudi utaikuta.Mie sikuamini ngoja nilog out tu[emoji3][emoji3][emoji3]
Yasijirudie ya siku ile
Hahah kiko hapa..
Nimeghairi siondoki naisubiria[emoji848][emoji848]Ukirudi utaikuta.