Hivi zile BMW zenye body kama carina TI ni series ipi? Kuna moja juzi kati niliona body ni kama Carina kabisa ila ina charter ya BMW mbele, nyuma na kwenye tairiWoyoooooooh [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7], lift baas dea lol
😂😂 nitakuwa kwenye kona nakuchungulia, kikinuka nimoo...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja nikamuambie ila nikisutwa itabidi tu uje uniokoe aisee
Nashukuru Rafiki,Yeah sasa nimerudi kwa ukamilifu..Nilikumiss zaidi Rafiki yangu..
Nilikuwa sikuoni humu eti..
Natumaini umerudi tena.
Karibu tena Rafiki.Nashukuru Rafiki,Yeah sasa nimerudi kwa ukamilifu..
Kwa sasa ulipo nipo!!
HahahahaMzee wa Fursa
X6 nikiona tyuuuh imepaki sehem lazima nitake kumjua muhusika, sijui huwa nawaza nn lol,Hiyo Toyota bwana we si mzee wa BMW [emoji28]
Hivi zile BMW zenye body kama carina TI ni series ipi? Kuna moja juzi kati niliona body ni kama Carina kabisa ila ina charter ya BMW mbele, nyuma na kwenye tairi
BMW ambayo hainichanganyi ni X series. Kuna siku nikaiona X6 aisee ile body tu kwanza macho yangu yalifarijika humo ndani sijui.... Wenye hela zao na wazitumie tu hakiii wivu sina ila macho yangu yanapataga tabu sana [emoji119]
[emoji2960]kuona wenzako 2....[emoji23][emoji23]Oh nimeshamuona bwana harusi..
Sasa wewe umejificha mno..embu tuwekee kapicha kanakoonekana vizuri [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
🤓🤓🤓 tayari au bado?Aisee! Ngoja nitulie kwanza jamani!
Hiyo Toyota bwana we si mzee wa BMW [emoji28]
Hivi zile BMW zenye body kama carina TI ni series ipi? Kuna moja juzi kati niliona body ni kama Carina kabisa ila ina charter ya BMW mbele, nyuma na kwenye tairi
BMW ambayo hainichanganyi ni X series. Kuna siku nikaiona X6 aisee ile body tu kwanza macho yangu yalifarijika humo ndani sijui.... Wenye hela zao na wazitumie tu hakiii wivu sina ila macho yangu yanapataga tabu sana [emoji119]
[emoji23][emoji23] nitakuwa kwenye kona nakuchungulia, kikinuka nimoo...
Land cruiser TX afu iwe nyeusi daah! Tuishie hapa....Mimi V8 na TX huwa zinanivutia sana! Kuanzia body hadi milio yao yaani hata nikiwa nimetulia sehemu nikisikia tu mlio wa V8 au TX lazima nigeuze shingo niisindikize na macho hadi itakapoishia!
Shavu dodo.....Nice pic Eng.
Yeaaaah nayo ni qareeeehLand cruiser TX afu iwe nyeusi daah! Tuishie hapa....
Alhamdulillah sijambo.. khofu kwa wewe tu!Hujambo
Land cruiser TX afu iwe nyeusi daah! Tuishie hapa....
Kuna pichapicha kibao zimenipita hapa leo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wivu hatuna ila roho zinauma
Basi hiyo siku nimeandika hiyo comment,juu ya hiyo comment niliweka picha zangu nyingi tu kama huamini pitia comments jirani na hiyo[emoji2960]kuona wenzako 2....[emoji23][emoji23]
Ungejua[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Sasa kumbe unafikiri ya nani mwingine