Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,093
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji16][emoji16]atiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko fastaaa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji16][emoji16]atiiiii
Wewe hapo umempoteza Lizarazu wetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Khaa lizarazu nije naye mimi au wewe
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji134][emoji134][emoji134]Ni huyo dada yako wakuitwa jael kanifungia sehemu [emoji1787][emoji1787]....hataki nishike simu
Madame kama madame.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji16][emoji16]atiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko fastaaa
Snap it show it. LolHahaha , habari ya siku nyingi
Sina hata picha ya vidole ..
Sema unataka saa ya aina gani, nikuagizie Dubai! [emoji6][emoji7][emoji7]View attachment 1526150
Anayenipenda aninunulie saa nyingine hii nimeichoka [emoji11]
Saa kama saaSema unataka saa ya aina gani, nikuagizie Dubai! [emoji6][emoji7][emoji7]
Sasa hiyo ya kusoma majira ni saa au redio [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Saa kama saa
Cha muhimu isome majira.
Dubai mbali bwana, hata Kariakoo zipo
Utajua hujui.Sasa hiyo ya kusoma majira ni saa au redio [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Aunt ake na Mkwepu Zoë naziona mambo zako. [emoji12] ama ni unasaka na pics kijanja
Ulivyotulia tulia hapa kama sio wewe [emoji28] nina uhakika Saint Anne hata hajui we ni nani.
Hebu nibariki basi na vidole ama macho
Ngoja nikununulie vile viredio vidogob upate kusikiliza TBC wakisoma uchambuzi wa magazeti hasa gazeti la majira [emoji23][emoji23]Utajua hujui.
We ilete tu...
[emoji16][emoji16][emoji16] Hua siumii kwa mtu aliyekufa akiwa na 50+ ila chini ya hapo hua naumia mno.
Imebidi nimrudishe Vinchi..namsumbua cockie hadi najistukia
Na kusutwa je??[emoji44][emoji44]Ni nani [emoji85][emoji85]
Umbea kwa mwanamke sunnah [emoji23][emoji23]
Umefuta nini?