Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,857
Nitamgawia we ukishaninunulia nyingineZipo wapi tukutane Ubungo nikakununulie hiyo mgawie Anna.
Nitamgawia we ukishaninunulia nyingineZipo wapi tukutane Ubungo nikakununulie hiyo mgawie Anna.
Nimekupa ruhusa. Haya weka sasa...Akh niombe ruhusa kwanza
Lazima ziwe kubwa kwako.
Inategemeana na speed yako ya kusuka pia na mtindo unaosuka.Inakuchukua muda gani kumaliza kili nzima?
Mguu wangu unaujua au unausikia?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lazima ziwe kubwa kwako.
Ha ha ha!!! Futa tu Dear...Makiseo nimeona like sasa nafuta.Nyani Ngabu njoo uone Adidas [emoji28]
Khaaah!! Kile kimguu kama cha mtoto[emoji134]Mguu wangu unaujua au unausikia?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo namba ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Ha ha ha!!! Futa tu Dear...
Imeisha hiyo.
Yah..tunashona na sindano zetu special..tunapiga pindo pembeni namna hii[emoji3526]Ukimaliza hapo uunge kwa kamba zile za kushonea viatu au za salfeti, kisha uweke na pindo.
I remember those old days bi mkubwa alikuwa anasuka sana hii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khaaah!! Kile kimguu kama cha mtoto[emoji134]
Hicho ni 41.
Duuuh!Yah..tunashona na sindano zetu special..tunapiga pindo pembeni namna hii[emoji3526]View attachment 1526245
Sent using Jamii Forums mobile app
Waaaapi![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nina bonge la mguu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi na wewe tunaitwa "old school", hata mimi sina nijualo hapo.[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]nna kaushamba flani hivi mdogo wangu.Ah uzuri ni kwamba hayana umuhimu wowote hayo mambo na wala siyo sifa mtu kuonekana anayajua, maana hata sisi tunaoyajua hayana msaada wowote kwenye maisha yetu ni mambo ya kupita na yako kwa ajili ya kurefresh minds tu.
Sasa kaka na wewe una uold school gani eti [emoji23][emoji23]
Aisee, humu kuna "classic women" hakyanani!View attachment 1526150
Anayenipenda aninunulie saa nyingine hii nimeichoka [emoji11]
Jinga wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2092]Hili swali Saint Anne ilibidi uulizwe wewe kinara wa kuwaambia wenzio waachie sura zao wakati wewe hauwezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]