Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ah uzuri ni kwamba hayana umuhimu wowote hayo mambo na wala siyo sifa mtu kuonekana anayajua, maana hata sisi tunaoyajua hayana msaada wowote kwenye maisha yetu ni mambo ya kupita na yako kwa ajili ya kurefresh minds tu.

Sasa kaka na wewe una uold school gani eti [emoji23][emoji23]
Kwa kujitetea sasa[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Dah afadhali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee Yaani unamuonea huruma mtu ambae kaishi miaka 90+
Haupo serious

Avi Arad na sami raimi walijitahidi lakini kuweka kwenyw ramani marvel

Haha tunasema tu “gone so soon” kama tulivyozoea hata kama mtu kafa akiwa ana miaka 100

Mwee afadhali hata tumerudisha jina letu maana nilikuwa naona watu wanavyopata taabu
 
Inategemeana na speed yako ya kusuka pia na mtindo unaosuka.
Hizo za mitindo huwa Zina complications kidogo kwahiyo zinachukua kamuda kukamilika,hata wiki au ukijitahidi Sana siku 6.
Kili moja inatakiwa iwe na pima 13 hadi 15.

Kuna hizi ambazo ni nyeupe[emoji116],ukimaliza unachemshia rangi then unashona..hizi ni mteremko tu,kwa mtu anayesuka haraka Kama Mimi siku 3 tu kili inaisha.View attachment 1526235

Sent using Jamii Forums mobile app

Aise nakuja kuchukua darasa
 
Kwa kujitetea sasa[emoji119][emoji119][emoji119]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani
Sijitetei naongea ukweli, labda niwaulize wenzangu wanaojua hayo mambo yanawasaidia nini ila mimi binafsi nayachukulia kama refreshments tu.

Daah nimegundua huwa nafanya makosa sana kujielezea [emoji18][emoji18]
 
Back
Top Bottom