Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

mamaangu anasuka ukili asee..
Kama mama yangu tu.

Kusuka raha sana.
JamiiForums-1316323610.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahah..bila shaka una kaujuzi flani hivi ka kusuka ukili...naona hapa mom yuko vizuri kuchanganya rangi...bt all in all, mikeka hii inadumu kwa muda mrefu..nilipewa na mom mpaka sasa ninao, kama mpya vile.
Ndiyo boss unadumu sana
Niko vizuri boss...nilianza kusuka tangu nipo mtoto.Mama alinifundisha mitindo mbalimbali.
Siku hizi nimefikia level yake.
Napenda akina mama wanaosuka mikeka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom