Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,860
Hapo sio Dar mamieMbona umekuja dar huniambii
Hapo sio Dar mamieMbona umekuja dar huniambii
[emoji2957][emoji2957]wanapaita nyumbani park......hamna kitu pale....
Leo usiku naweka pic ntakutag sawaaa deaMbona kama meza ya lodge hiyo? Msalimie unaye msubiria
Hapo sio Dar mamie
Kabla ya kuweka niPM kwanza. Unaweza kuweka muda ambao niko offline afu inipiteLeo usiku naweka pic ntakutag sawaaa dea
Ni kwenyewe bana.Aise basi pamefanana na dar kituo cha bondeni
Poaaaaaah dea, but ya leo sitoi had uoneKabla ya kuweka niPM kwanza. Unaweza kuweka muda ambao niko offline afu inipite
[emoji23][emoji23][emoji23] ni office tableMbona kama meza ya lodge hiyo? Msalimie unaye msubiria
[emoji123]Mdogo mdogo tunamtoa mtoto njeView attachment 1522705
Karibu [emoji91][emoji551] ma dea.Kwa kina Zoë View attachment 1522592
Naona umepita bondeniDar es salaam
Ilitakiwa nipite wapi?Naona umepita bondeni
Huko unapoelekea kuna viwanja moto ila mikocheni bado ni sehemu tulivu zaidi, karibu dar.Ilitakiwa nipite wapi?
Ni kwenyewe bana.
Baadae tukutane triple 7
777[emoji106]Ni kwenyewe bana.
Baadae tukutane triple 7
Mikocheni mmejaa washua sana me siwawezi. Najiendea zangu huko kwa Ndevu mbele mbele 😜Huko unapoelekea kuna viwanja moto ila mikocheni bado ni sehemu tulivu zaidi, karibu dar.
Yan wewe!! Hebu subiri hapo hapoDaah natamani ningekuwa na muda mwenzenu jamani. Yaani nimebanwa na kuanzia jumatatu ndiyo kifo uwii hadi nawaonea wivu.