Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Sio pazuri kabisa, ni vile tu ndiyo kwenye uafadhali karibu Moro nzima.
Yeah kuna mtu aliniambia panapendwa sababu ndiyo penye afadhali kwa morogoro, ila ukilinganisha na sehemu zingine za mikoa mingine siyo pazuri.