Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Ohoooooo!
Hapa je nini?
Kama umenimiss kweli weka pic nithibitisheweekend n mizururo. com, n mic u moaaah dea
Unapajua?Hapa je nini?
Humanity, info & Coed nilikuwa nashinda huko.
Basi mdogo wangu kama haupo hapo!
Aisee
Tayali imeshakuwa miaka hiyo, wakati ni juzi tu hapoHumo nimezurura sana miaka hiyo. Washkaji zangu Karibu wote walikuwa huku, chuoni kwangu ilikuwa ikifika ijumaa jioni sipo mpaka jumatatu asubuh

Bas subir nkuwekee deaKama umenimiss kweli weka pic nithibitishe
Long weekend Niko Moro, wenyeji nitajieni sehemu nzuri za ku chill
Jael Heaven Sent
View attachment 1522352
Hapana, hapana! Siku hizi sifundishi chuo!
Sio pazuri kabisa, ni vile tu ndiyo kwenye uafadhali karibu Moro nzima.Nasikia samaki samaki ni pazuri eti
Wewe Ninge jamani ni miaka karibu 9 imepita.Tayali imeshakuwa miaka hiyo, wakati ni juzi tu hapo![]()
Sawa DepalWewe Ninge jamani ni miaka karibu 9 imepita.

Mbona unakuja kimya kimya sasa? Ntapita hapo kukusabahiLong weekend Niko Moro, wenyeji nitajieni sehemu nzuri za ku chill
Jael Heaven Sent
View attachment 1522352
Duh hii kauli inakatisha tamaa! Nimepita hapo samaki samaki few minutes ago. Ni zile sehemu inabidi uje usiku.Sio pazuri kabisa, ni vile tu ndiyo kwenye uafadhali karibu Moro nzima.
Utumishi?? Au wizarani?Hapana, hapana! Siku hizi sifundishi chuo!
Kuna ofisi zilikuwepo hapo College of Humanities!