Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,217
Soma neno mkuu...Hii camera sio mchezo. Yaani mpaka maneno nayaona.
Usisahau kuchomeka chandarua
Chandarua!! Sikumbuki Mara ya mwisho ilikuwa lini 😅 nina muda mrefu sijawaona mbu
Soma neno mkuu...Hii camera sio mchezo. Yaani mpaka maneno nayaona.
Usisahau kuchomeka chandarua
Atajua yeye hilo halinihusu mie.Hiyo emoji hapo inafanana na naibu waziri wa Afya Mollel.
Huko wapi niku connect upendeze! Jamaa ang fundi sana wa hizo kazi!Hivi vidude vimetrend. Nahisi nimebaki mimi tu ambaye sijavaa
Hiyo foleni sababu ni nini? Naona kuna mtu pia analalamika foleni ndefuKaribuni tudumishe foleni hapa MbeziView attachment 1522058
Junction ya Mbezi-Goba imefungwa, magari yanayoenda Tangibovu yanatembea hadi Kwa Yusufu, ndio yageuke kuingia service road kupitia stand mpya inayojengwa ndio yaende Tangibovu. Kuna foleni hatari, hii sijawahi kuona, njia zote zimefunga gari hazitembei. Tangu mbili nipo Kimara, nimefika mbezi saa sita, sasa hivi ndio nimepita nafika home. Nimetukana matusi yote leo...dahHiyo foleni sababu ni nini? Naona kuna mtu pia analalamika foleni ndefu
Sent from my SM-A605F using JamiiForums mobile app
Mambo Rafiki upoSoma neno mkuu...
Chandarua!! Sikumbuki Mara ya mwisho ilikuwa lininina muda mrefu sijawaona mbu
Aiseee.. poleni sanaJunction ya Mbezi-Goba imefungwa, magari yanayoenda Tangibovu yanatembea hadi Kwa Yusufu, ndio yageuke kuingia service road kupitia stand mpya inayojengwa ndio yaende Tangibovu. Kuna foleni hatari, hii sijawahi kuona, njia zote zimefunga gari hazitembei. Tangu mbili nipo Kimara, nimefika mbezi saa sita, sasa hivi ndio nimepita nafika home. Nimetukana matusi yote leo...dah
Humo nimezurura sana miaka hiyo. Washkaji zangu Karibu wote walikuwa huku, chuoni kwangu ilikuwa ikifika ijumaa jioni sipo mpaka jumatatu asubuh
Anhaa wewe ni wa hapa ???
Wooooow
.Humo nimezurura sana miaka hiyo. Washkaji zangu Karibu wote walikuwa huku, chuoni kwangu ilikuwa ikifika ijumaa jioni sipo mpaka jumatatu asubuh



weekend n mizururo. com, n mic u moaaah deaKuwa na subira mama, utazipata!Khaaaah![]()