Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,401
- 88,857
Ni poa sana T 1990 ELY inakuwaje!!!Mambo vipi
Bibi
Mbona guest house 😆Weekend yangu itaishia hapaaaahView attachment 1516320
Huhuhuh weee dea acha tyuuh settles zingine zina hatariiih, nimekuja kwa ndugu, afu hii ni jiran yake, wala sio guest n makazi ya mtu kabisaa.Mbona guest house [emoji38]
Vizuri sana kama ni kwema kabisa mkuu
Akhsante kushukuru ChakoriiVizuri.
Asante sana
Amekuwaje?Bibi
🥂🥂🥂🥂🧚♀️🧚♀️🧚♀️Akhsante kushukuru Chakorii
Mbona guest house [emoji38]
Mkiwa wawili inatia nguvu mkuu..tafuta campani nzuri tu
Unaweza pia kwenda gym mkuu...Lipia kwa mwezi ili kichwa kikuume ukischa kwenda😅😅Mazingira yanayonizunguka ni ngumu kupata kampani
Unaweza pia kwenda gym mkuu...Lipia kwa mwezi ili kichwa kikuume ukischa kwenda[emoji28][emoji28]
Woyoooooooooooooooooh, naomba lift jomoneeeeeh [emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji173]Nyani Ngabu anko Juju hivi vimeanza kuniruka vingine basi[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]View attachment 1512344
Ni kweli ukiacha mazoezi unakuwa kibonge zaidi ya mwanzo.Labda nijaribu hii n[emoji23][emoji23][emoji23]sema ukiacha mazoezi unanenepaaaaa