Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Naomba nione picha yako uliyofuta

IMG_2279.JPG
 
Ooh[emoji4]
Ndani ya Kristo ninaweka tumaini langu
Sijui bila wewe Bwana wangu ningekuwa wapi

Anajua shida zangu yeye atazitatua
Bila Yesu Mimi ni mtu bure[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Yaani yule dada akiimba huwa ananipa upako sana.
 
Ooh[emoji4]
Ndani ya Kristo ninaweka tumaini langu
Sijui bila wewe Bwana wangu ningekuwa wapi

Najua shida zangu yeye atazitatua
Bila Yesu Mimi ni mtu bure[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kati giza Yesu mwanga wangu

Kati huzuni Yesu ni mu fariji
Screenshot_20200725-100826_YouTube.jpg
 
Back
Top Bottom