Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yesu kimbilio hajawahi kuniacha
Yesu mwanga wangu
Mahali pa kujificha[emoji119][emoji119]

Yahweh we ni yote kwangu
Ee Yahweh ningekuwa wapi
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji445]

Yesu Kimbilio hajawahi kuniacha

Yesu mwamba wangu mahali pa kujificha

Anajua shida zangu yeye anazitatua

Bila yesu mimi ni mtu bure
 
Jamanii mwenye ndinga ya BMW, aweke macho yangu yamemic kuona hio chuma lol

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


IMG_4660.jpg
 
Back
Top Bottom