Selfika na JF: Snap it. Show it

Sio lazima uende na baby kurifreshi, unaweza jitafutia muda pia ukapumzika eneo kama hilo lina mvuto sio kitoto utulivu wa hali ya juu, ukikaa hapo hakika itakutia hamu za kukaza zaidi kuzitafuta pesa
We nae mbona unakaza hivyo...asipoenda na baby ataenda na nani sasa.

Sehemu kama hiyo uwe na mtoto mzuri mzuri anakulegezea sauti kakulalia kifuani🤪🤪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…