mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,362
- 6,480
[emoji23][emoji23][emoji23] mambo ni mengi mda ni mchacheNdiyo mganga wako alikwambia upige full black [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23] mambo ni mengi mda ni mchacheNdiyo mganga wako alikwambia upige full black [emoji38]
Eti eeeeeeh basi hongereni sana.[emoji23][emoji23][emoji23] tunasundikiza wabungee
naotea atakua ameenda kung'olewa meno tu huyu
Wewe ni huyo alievaa t-shirt ya mikono mifupi. Nimeunga dots nimekung'amua.Tuseme inshallah bunge letu sote...tumechukua form salamaView attachment 1506535
Hahaha sio kweliii mkuu kuna watu wananijua humuWewe ni huyo alievaa t-shirt ya mikono mifupi. Nimeunga dots nimekung'amua.
Naomba hiyo [emoji355] lol
Hii picha kuna mahali nimeiyona etii[emoji3]Tuseme inshallah bunge letu sote...tumechukua form salamaView attachment 1506535
[emoji7][emoji7][emoji39],njoo chukuaNaomba hiyo [emoji355] lol
Hadi nimezoom[emoji3]
Nakuja uwiiiiiih [emoji3590][emoji7][emoji3059][emoji7][emoji7][emoji39],njoo chukua
California love
Eeeh yawezekana tunajuana aiseeeHii picha kuna mahali nimeiyona etii[emoji3]
OkNakuja uwiiiiiih [emoji3590][emoji7][emoji3059]
Asanteeee sanaaaaaEti eeeeeeh basi hongereni sana.
Binti wadogo wadogo ndiyo wazuri kuoa mnakuaga na heshima sana
Kwani sisi wakubwa hatuna heshima?Binti wadogo wadogo ndiyo wazuri kuoa mnakuaga na heshima sana
Wakubwa wanapenda ligi, we ni mkubwa pia nimesahau, yani wakubwa wanashida moja ushindaniKwani sisi wakubwa hatuna heshima?