Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Si kweli [emoji4]Wakubwa wanapenda ligi, we ni mkubwa pia nimesahau, yani wakubwa wanashida moja ushindani
Hatupendi ligi
Si kweli [emoji4]Wakubwa wanapenda ligi, we ni mkubwa pia nimesahau, yani wakubwa wanashida moja ushindani
We mdogo bwana hebu tulia mdogo wangu, ukifika huko tutazungumza lugha mojaSi kweli [emoji4]
Hatupendi ligi
Mhmhhhhhh wewe[emoji23]```Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote.
Mhubiri 9:11```
Hakika its trueLakini wakati na bahati huwapata wote...
Mimi mzee[emoji4]We mdogo bwana hebu tulia mdogo wangu, ukifika huko tutazungumza lugha moja
Sawa basi we mzee [emoji38][emoji38] unapenda uzee, we ngoja ukufike utatamani ujanaMimi mzee[emoji4]
[emoji3]Sawa basi we mzee [emoji38][emoji38] unapenda uzee, we ngoja ukufike
Wakarofi hao [emoji38][emoji38][emoji3]
Acha kutuonea wanawake wakubwa
UnatuoneaWakarofi hao [emoji38][emoji38]
Jitetee na vifungu vya maandiko takatifu basiUnatuonea
Sisi wapole
Nimekuja mbio kidogo nijikwae[emoji57][emoji57][emoji57]
Bado yapo nahangaika nayo pole pole. Tena jana nimeongezea mengine tofauti tofauti. Ushindwe mwenyewe tu [emoji16][emoji16][emoji16]Nimekuja mbio kidogo nijikwae[emoji57][emoji57][emoji57]
Yule amchaye Bwana......Jitetee na vifungu vya maandiko takatifu basi
[emoji12][emoji12][emoji12]View attachment 1507361
Kutokea maktaba..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani sisi wakubwa hatuna heshima?
Annie, mwandiko wako huu?Yule amchaye Bwana......
Regardless of her age [emoji4]
Upendeleo hudanganya.
Upendeleo wa kuweka matabaka ya miaka hudanganya.View attachment 1507360
Hakika umejitetea vizuri, kula chips hapo nitatuma pesa sahiviYule amchaye Bwana......
Regardless of her age [emoji4]
Upendeleo hudanganya.
Upendeleo wa kuweka matabaka ya miaka hudanganya.View attachment 1507360
Umemuona ehh[emoji41][emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila akili zako basi tena