Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Sijambo shikamo JaelHamujambo?View attachment 1492640
T 1990 ELY
MamboT 1990 ELY
PoaMambo
Marahabaaaa! Hujambo?Sijambo shikamo Jael
Sijambo JaelMarahabaaaa! Hujambo?
Haujakoma eeh?
Teh!!Haujakoma eeh?
Salama kabisa mdogo wangu.Teh!!
Nimekoma ila kuna mazingira ya kazi inanibidi nitumie usafiri wa pikipiki mkuu Jael
Kwema lakini mamy
Mguu unaendelea vizuri natembea kama zamani ila kidonda ndo bado kidogo hakijapona vizuri mpendwa.Salama kabisa mdogo wangu.
Mguu umepona?
Mguu mbonge mbonge
😅😅 itabidi upunguzwe kwakweliMguu mbonge mbonge