CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,087
- 23,868
Ombi lako lipo pending mpk utakaponi tagBasi mimi natuma hilo ombi mpendwa
mahali penye selfie yako,always ladies... ... ...
Ombi lako lipo pending mpk utakaponi tagBasi mimi natuma hilo ombi mpendwa
Mbona zipo nyingi sana huko juu mpendwaOmbi lako lipo pending mpk utakaponi tag
mahali penye selfie yako,always ladies... ... ...
la bia, hongera🧚♀️🧚♀️🧚♀️😘la bia, hongera
MMMMMMHHMbona zipo nyingi sana huko juu mpendwa
Ooh lord, Have mercy! 🤤🤤
Your outfit says a lot paula 😎, idk kama wengine wamenotice.
Aisee! Twafwa!
Kila mwanaume 1 anaporudi nyumbani, anaenda kuipa matumaini familia yake, hata kama hana senti tano! Uwepo wake na tabasamu na kurudi kwake, kunainong'oneza familia "IPO KESHO....KUNA MAISHA BADO....TUNA ULINZI WA KUTOSHA. BADO LIPO TUMAINI.."
_
Mwanaume anatembea na mengi sana kichwani na moyo wake, na hawezi kuyasema, kama wanaume wangelikuwa wanawaeleza wake zao namna wanavyopambana kwa ajili ya familia zao, wanawake wangelikufa kwa mshtuko.
Si ajabu ndiyo maana wanaume tunakufa mapema, maana tunauawa na mengi!....
Ni kweli ila mimi si unajua siingiagi mitaa hii sana..Mbona zipo nyingi sana huko juu mpendwa