T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,931
- 30,078
......
Unataka kuiba mafuta? 🤔
I miss you
Tunasubiri yakoChat na picha jamani..
Na mimi nasubiri yakoTunasubiri yako
Nashusha mzigo muda si mrefu vuta subiraNa mimi nasubiri yako
Miss you mama.I miss you
Naelewa mpendwa. Kuna wakati maisha yanatupeleka speed kiasi kwamba tofauti yetu na feni ni umeme tu.Miss you mama.
Kuna wakati maisha yanaenda mputa mputa hata kukata sana mitaa humu kunapungua.
Hebu weka picha inayoeleweka aiseeHamujambo?View attachment 1492640
😅😅😅Naelewa mpendwa. Kuna wakati maisha yanatupeleka speed kiasi kwamba tofauti yetu na feni ni umeme tu.
Zipo Chief.Hizo soksi zinanukiaga vizuri sana aisee
Una Nini lakiniNaelewa mpendwa. Kuna wakati maisha yanatupeleka speed kiasi kwamba tofauti yetu na feni ni umeme tu.












