Hata mimi sijawahi kuona mpare mrefu.
Kwako mtu mrefu ana mita/futi ngapi. Kuwa honest ili tuone nchi hii ni wapare tu ndio wana huo ufupi au hata wajaluo ni wafupi tu kama hao wapare.Hao warefu mmewaficha kuko milimani? Au ndio mrefu kama Mkapa kwakua kawapita wengi huko basi ndio giant?
Salama kabisa, unaendeleaje?Habari za asubuhi mpendwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwako mtu mrefu ana mita/futi ngapi. Kuwa honest ili tuone nchi hii ni wapare tu ndio wana huo ufupi au hata wajaluo ni wafupi tu kama hao wapare.
Shikamoo shetani.Mkono wa shetani? View attachment 1485723
Nashukuru Mungu naendelea vizuri JaelSalama kabisa, unaendeleaje?
Nimefurahi kusikia uko poa.Nashukuru Mungu naendelea vizuri Jael
Ajali haina kingaView attachment 1484951
Crisps vs crips ugonjwa wa wengiInawezekana kweli alikuwa hawezi kutamka,mimi mpaka leo kutamka neno crisps ni mtihani najikuta nimesema crips.
Shikamo shetaniMkono wa shetani? View attachment 1485723
HeheheNaomba ruhusa nikamuuguze mgonjwa.
Jibu moja tu, HAPANA!
Kaone[emoji8][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha...mdogo wake shetaniMarahaba mdogo wake mwingine [emoji23][emoji125]
Wewe ni mkurya?
Nenda hospitali.
Hahaha you two...!Basi ndiyo maana
Usicheke sis, naachwa hivi hivi!Hehehe