Bandu bandu umaliza.....?? Muonja asali haachi kuonjaaaa, kwahiyo kasie wewe una viuno kama hivyo
Umemuona wapi huyoo?Ua traveling i ave seen somebody like you, na mimi nipo njiani
Nimecheka had bas, yaan wee mam kubwa unajua kunifurahisha haswaaaahKwenye kuonja sina shida nae, aonje tuu hata mara nne kwa mwezi. Shida itaanza akitaka akaonje kila siku au kila mara weeeh.... Ajiandae kukosa rosti la biringaya na nyanya chungu lililoungwa na tui bubu la nazi na dagaa mchele waliokaushwa na joto hafifu na wenye ladha ya ndimu kwa mbali na pilipili kwa mbali....
Zamani zileee nilikuwa moto chini kiuno kinazunguka mota inasubiri. Sikuhizi hamna kitu, nimezeeka na kukakamaa kama gogo kavu nikilazimisha kukatika tuu navunjika aahahahahahaaa.
Nimekubaliana na hali halisi.
Nimecheka had bas, yaan wee mam kubwa unajua kunifurahisha haswaaaah
NooopeUnavuta shisha![]()
Yaaan haswaaaaah umepatiaAahahahhahaaa karibu, maisha ni kufurahii.
Utazimia bure wengine si tunatishaHalafu kuna watu noma sijawahi ona picha zao hapa, tuanze na wewe budda, kulikoni
Safi naona unashushia na juisiJumapili tulivu sehemu tulivuView attachment 1470940
Kwenye kuonja sina shida nae, aonje tuu hata mara nne kwa mwezi. Shida itaanza akitaka akaonje kila siku au kila mara weeeh.... Ajiandae kukosa rosti la biringaya na nyanya chungu lililoungwa na tui bubu la nazi na dagaa mchele waliokaushwa na joto hafifu na wenye ladha ya ndimu kwa mbali na pilipili kwa mbali....
Zamani zileee nilikuwa moto chini kiuno kinazunguka mota inasubiri. Sikuhizi hamna kitu, nimezeeka na kukakamaa kama gogo kavu nikilazimisha kukatika tuu navunjika aahahahahahaaa.
Nimekubaliana na hali halisi.
Kah nimesoma mwanzo mpaka mwisho nikanza kusoma mwisho mpaka mwanzo, maana sio kwa maonjo haya,Nilikua katika haraka za mawindo nikamuona nae yupo kutalii kidogoUmemuona wapi huyoo?
Priscallia umetisha sana, picha la kibabe hili,
Utazimia bure wengine si tunatisha
Na wewe hutaki nizimie, unanionea huruma, acha huruma zako budda hebu fanya kunitumia basi