Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,584
Forensic, espionage, driving technique....wewe ni hatari.
Kitu Kama obsidianLipo kama hili?!View attachment 1470500
Huu ni mkono wako Goddess?Lipo kama hili?!View attachment 1470500
[emoji16][emoji16][emoji16] okayKama zipo na nyingine kabatini ziandae. Nataka niwe mpiga pasi wako wa kudumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Niambiae nije saa ngapi na pasi yangu. Nilishinda mashindano ya kupiga pasi nilipokuwa o'level. Nina uhakika na ujuzi wangu.[emoji16][emoji16][emoji16] okay
You in Atlanta ??Señor Patron or Q Korean Steakhouse? We can’t decide...
View attachment 1470498View attachment 1470499
Señor Patron or Q Korean Steakhouse? We can’t decide...
View attachment 1470498View attachment 1470499
Ndo kinaitwa hvyo au kinafananiaKitu Kama obsidian
Unachora nini au ndiyo ile #blacklivesmatterGraffiti-ng
View attachment 1470469
Aahahahhahahaaaa hatariiiii
Ndo maana nikatoa kibali Dadii aonjepo ila asiweke kambi tuu aahahahahahhaa.
Weee hebu tulia[emoji16][emoji16][emoji16] okay
Hujakosea huwa wana akili nyingi, maana uchoraji ni ubunifu na ubunifu unahitaji brain [emoji3447] sanaWachoraji wengi wapo vizuri kichwani...hongera
Hujakosea huwa wana akili nyingi, maana uchoraji ni ubunifu na ubunifu unahitaji brain [emoji3447] sana
Halafu kuna watu noma sijawahi ona picha zao hapa, tuanze na wewe budda, kulikoniNdio
Unavuta shisha [emoji849]Nikiwa naelekea maeneo ya kupata Elimu, ndan ya $elous TourView attachment 1470805
Ndiyo unarudi pale pale ubunifuLicha ya ubunifu, kuchora inahitaji uwezo wa ziada kuhamisha kitu kutoka kichwani na kukiweka kwenye mchoro kionekane, inahitaji akili ya ziada.
Ua traveling i ave seen somebody like you, na mimi nipo njianiNikiwa naelekea maeneo ya kupata Elimu, ndan ya $elous TourView attachment 1470805