Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,434
- 52,908
Nooope
Unavuta nini
Nooope
Yaaan haswaaaaah umepatia
Priscallia Manyonyolicious nikiwa mkubwa ntahang middle like that mkufu,geuka kidogo mpendwa.
Huwez amini nimeionea wivu hio chain,, dada unajua kutupia huu uzi unautendea Haki
Hebu fanya kuweka na nyama choma pembeni, pombe bila nyama vipi
Hakika ni yeyeeee
Umepoteaaaaa, welcome backHakika ni yeyeeee
Ulevi nao ni kipaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
AsanteUmepoteaaaaa, welcome back
Duh! Kutuna ni dk sifuri!!
Kwa kweli ni kipajiUlevi nao ni kipaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah, so pretty!
[emoji3079]