Priscallia
JF-Expert Member
- Nov 9, 2019
- 496
- 2,456
Asante. Nimekupenda pia 💕We dada priscallia nimekupenda ghafla
Asante. Nimekupenda pia 💕We dada priscallia nimekupenda ghafla
Weka yako Sasa ili upumzikeHayo ndo mambo Sasa.Blacka the ting the sweeter the ting.Naweza kupumzika Sasa nimefurahi.
Hiyo mitaa sio uyoleIle nyumba kwa mbali kama ya bibi yangu uyole
Hahahaunaonekana ni wife material kabisa sio (material wife)
Acha zako geuka kidogo tuone lishape na tako mpendwa.Hhah endelea kusubili mpendwa 👌
Nilinyoa bossZile nywele ulizinyoa?![]()

Hapa Mimi ni mwanaume tena shababiHahaha
Kwa vile nimenyoa?
Nop! picha ya muda lakni hii 😒Acha zako geuka kidogo tuone lishape na tako mpendwa.
Jamani jamani! 😋
Hiyo picha ya chini haionekani vizuriMimi hapo nimechillView attachment 1468580

Tupia moja brand new please mpendwa.Nop! picha ya muda lakni hii 😒
Hasa so ndo raha kutoona vizuri,mbona we naona kashepu kazuri sikuoni sura ninaona maemoji ya ulimi ukimeza dola.Hiyo picha ya chini haionekani vizuri
Nakaona tu katoto kazuri
Nice one Priscallia umependeza sana,Please geuka kidogo mpendwa ntafurahi.
Utabiri wangu umetimiaHeheheh!
Hatimae ila mpaka kufika saa tisa itakua imetolewa
Umempendea nini?We dada priscallia nimekupenda ghafla
Toto zuri zuri au wew waonaje mkuuUmempendea nini?
Zuri kinoma tatizo wallet afu mi mkristo.Toto zuri zuri au wew waonaje mkuu