Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani imebidi tu nicheke kwakweli.
Unakulaje malinao kama unakula machungwa??
Una mimba ama?😂😂😂

Shida ni hizo limao zako unazokula.
Kwanza unatakiwa kujua kuwa limao liko na Vit.C na ile hali yake ya uchachu husababisha fats zivunjwevunjwe mwilini na sukari isihifadhiwe kwahiyo ina sababisha kupungua uzito.

Yaani hapa hata ule nini kwa idadi ya malimao unayokula yaani chakula kinaingia na kutoka.

Kama unataka kuongezeka,acha kula hizo limao zako.
Ongeza idadi ya milo unayokula.
Ongeza wingi wa chakula.
Kula maparachichi,nuts,ndizi,mtindi.
Asubuh kabla ya kula chochote anza na glass moja ya maji.
Punguza stress,kama unaumwa upate tiba.
 
Mimi nadhani shida ipo kwenye kunywa maji.
Sinywi maji kabisa..na lile tatizo langu sijui ndio linanikondesha Mimi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…