Yaani naona jinsi wanavyohangaika...wanahangaika wee..wengine wamekaa na njia hadi wamepata vidonda vya tumbo.
Kuna mmoja anacheza 80's,,dokta anamwambia inabidi upungue maana alishaanza kupata presha.
Nikifikiria hizo tabu,nikijiona kamwili kangu naishia kumshukuru Mungu