Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
[emoji6]
[emoji6]
Barikiwa sana jamaniNafurahi kusikia hivyo. Mie niko mzima kabisa babe.
Haya weka
Avute subira mida yetu ile mkuuTayari mtoto mzuri eeehh, nishamwambia aweke
Bila shaka leo tutapata iliyo full
Looh
Akiweka Sakayo hata mimi ntaweka.Wewe na blackcornshman mrudie picha.
Msinipe pole [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakikisha kukai mbali mida ya wanga mkuuBila shaka leo tutapata iliyo full
Yule ni mjukuu wangu,nimemwambia umeitwa handsome kafurahi sana.Enheee
Huyo naye aliona picha, hivi alifuta na yeye picha zakee....ni mhandsome sana jamani
Sakayo nilishaona picha yake.Akiweka Sakayo hata mimi ntaweka.
Kwahiyo Depal ndiyo umefuta ??Cheiii
Subiri ukuwe na wewe utafaidi tu...
Full haipo.
Nasubiri yako hata kidole tu, pls mkuu do the needful [emoji144]
Siku nyingine uwe unaaga sawa enhHahahahaha
Kwa kweli
Mvua imenyesha jamani ikajifuta 🙆Kwahiyo Depal ndiyo umefuta ??
[emoji120][emoji120] [emoji7][emoji7]Barikiwa sana jamani
Kuanzia saa ngapi mkuu?Hakikisha kukai mbali mida ya wanga mkuu
Khaa huo uhuni umeanza lini we mtoto ??Mvua imenyesha jamani ikajifuta [emoji134]
Tokea Rona kaja Tanzania 🤣Khaa huo uhuni umeanza lini we mtoto ??