Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Heri waninyonge kuliko kuamka saa9 kusubiri pichaNa wewe nitakuamshaa





Hata mie sina uhakika. Huo muda kama nitaingia humu nitasave.
🤣🤣🤣 basi nitakuletea hakikisha pm iko wazi muda huo
Hakika siwezi kosaHuyu mzee wa kuscreenshot atakuwa nayo Mjep
Haya peaneni na mwenzioHakika siwezi kosa
Labda ufanye hivyobasi nitakuletea hakikisha pm iko wazi muda huo


Hahahaaa bahati mbaya sana likes za kwenye comments zilizofutwa huwa hazihesabiki mkuuKuna warembo kama wawili watatu hivi nawavizia niwaone picha zao lakini kila nikiingia nakuta wameweka na kufuta asee.
Eenyi warembo msinifanyie hivyo jaribuni kusubiri hata like zangu tu kisha ndio mfute hizo picha
Kati ya hao na wewe ni mmoja wapo ujueHahahaaa bahati mbaya sana likes za kwenye comments zilizofutwa huwa hazihesabiki mkuu
NB: Sijasema mimi ni mmoja wa hao warembo
poleKuna warembo kama wawili watatu hivi nawavizia niwaone picha zao lakini kila nikiingia nakuta wameweka na kufuta asee.
Eenyi warembo msinifanyie hivyo jaribuni kusubiri hata like zangu tu kisha ndio mfute hizo picha
Mida ya wanga, tushushe vitu mkuuWamelalaaa
Nakuona toka mchana unashusha vitu kwa manenoMida ya wanga, tushushe vitu mkuu

Hizi picha asubuhi huwa zinatoweka katika mazingira ya kutatanisha sana.
Hii kaficha sura hata akiiacha hakuna shidaHizi picha asubuhi huwa zinatoweka katika mazingira ya kutatanisha sana.